UFUNGUZI WA JENGO LA CHUO CHA UTAWALA WA UMMA,TUNGUU HABARI MSETO 6.1.13 0 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapind... Read more »
MH WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWAJULIA HERI YA MWAKA MPYA MAJIRANI ZAKE KIJIJINI KIBAONI HABARI MSETO 6.1.13 0 Mh Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwasalimia majirani zake na kuwatakia heri ya mwaka 2013 kijijini kwao kibaoni katavi pichani anaonekana... Read more »
MKE WA MAKAMU WA RAIS, MAMA ASHA BILAL MGENI RASMI MAHAFALI YA KIDATO CHA SITA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA KIISLAMU WA SHULE YA SEKONDARI TAMBAZA HABARI MSETO 6.1.13 0 Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye Mahaf... Read more »
BMTL WASHEREHEKEA KUUAGA MWAKA 2012 HABARI MSETO 6.1.13 0 Mkurugenzi wa Mauzo wa Kampuni ya Business MachinesTanzania Ltd (BMTL), Ramakrishnan Kirubakaran akizungumza na wafanyakazi wa kampuni ... Read more »
MMILIKI AC MILAN AMFAGILIA KEVIN-PRINCE BOATENG HABARI MSETO 5.1.13 0 Boateng wa pili kulia akiwa na Mathiue Flamini wakiondoka dimbani baada ya kubaguliwa na mashabiki, huku wakiombwa kutofanya hivyo na wa... Read more »
RAIS WA TOGO KUTETA NA EMMANUEL ADEBAYOR IKULU HABARI MSETO 5.1.13 0 Emmanuel Adebayor LOME, Togo RAIS wa Togo, Faure Gnassingbe ameitisha kikao maalum baina yake na nahodha wa timu ya taifa ya h... Read more »
ANDY MURRAY KUTWAA UBINGWA BRISBANE INTERNATIONAL KESHO? HABARI MSETO 5.1.13 0 BRISBANE, Australia NYOTA wa tenisi raia wa Uingereza, Andy Murray, 25, kesho Jumapili anakutana uso kwa uso na Grigor Dimitrov wa U... Read more »
BENITEZ ATAMBIA USAJILI WA DEMBA BA STAMFORD BRIDGE HABARI MSETO 5.1.13 0 LONDON, England KOCHA Rafael Benitez amesisitiza kuwa usajili wa mshambuliaji Demba Ba sio kamari kwa klabu yake ya Chelsea na kwamb... Read more »
RAIS KIKWETE AONANA NA MSHAURI WA KIJESHI WA UMOJA WA MATAIFA IKULU DAR ES SALAAM HABARI MSETO 4.1.13 0 jwUN1: Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa Umoja wa Mataifa Luteni Generali Babacar Gaye baada ya... Read more »
KIKWETE, MAMA SALMA WAENDA KUTOA POLE NYUMBANI KWA SAJUKI HABARI MSETO 4.1.13 0 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ' Sajuki' n... Read more »
HADIJA WA BEST NASSO VIDEONI HABARI MSETO 4.1.13 0 Na Elizabeth John NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassoro Hamis ‘Best Nasso’ yupo katika maandalizi ya kuisambaza video ya kaz... Read more »
VIDEO YA NENDA NENDA IKO HEWANI HABARI MSETO 4.1.13 0 Na Elizabeth John HATIMAYE video ya wimbo wa ‘Nenda nenda’ ulioimbwa na mwanadada anayetamba katika tasnia ya muziki wa kizazi kipy... Read more »
Dazzy baba kutoka na Sauti zetu HABARI MSETO 4.1.13 0 Na Elizabeth John BAADA ya kuwa kimya kwa muda mrefu, Nyota mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, Daud Nyika ‘Dazzy baba’ ameach... Read more »