RAIS SAMIA ASHIRIKI UAPISHO WA RAIS MUSEVENI, NCHINI UGANDA HABARI MSETO 13.5.26 0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo amehudhuria sherehe za uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri y... Read more »
JAMII MKOANI KAGERA YATAKIWA KULINDA NA KUTUNZA ARDHI KUEPUKA MMOMONYOKO HABARI MSETO 12.5.26 0 NA EDITHA WILLIAM, KAGERA Jamii Mkoani Kagera imetakiwa kulinda na kutunza ardhi ili kuepuka mmomonyoko wa ardhi ikiwa ni sambamba na kufuat... Read more »
NCCR Mageuzi yamshukuru Dkt. Samia uteuzi wa Dkt. Aveline, yawaonya wanaoubeza HABARI MSETO 9.5.26 0 Chama cha NCCR Mageuzi kimetoa onyo kali kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho ambao wamekuwa wakimshambulia kwa maneno Katibu Mkuu wa chama... Read more »
Kikwete: Rais Samia apeleka 'kicheko' kwa watumishi wa umma HABARI MSETO 9.5.26 0 Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewataka watumishi wa u... Read more »
CRDB Bank Foundation Yatoa Bilioni 21 Kuwainua Vijana na Wanawake HABARI MSETO 8.5.26 0 TAASISI ya CRDB Bank Foundation imetoa jumla ya shilingi bilioni 21 katika kipindi cha miaka mitatu kwa ajili ya mikopo kwa vijana, wanawak... Read more »
WANANCHI KAGERA WATAKIWA KUZINGATIA KANUNI ZA AFYA HABARI MSETO 8.5.26 0 NA EDITHA WILLIAM BUKOBA, KAGERA Wananchi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera wameshauriwa kuzingatia kanuni za afya ili kue... Read more »
CRDB Yakutana na Wadau Kujadili Ukuaji wa Uchumi na Fursa za Uwekezaji HABARI MSETO 8.5.26 0 DAR ES SALAAM Benki ya CRDB pamoja na kampuni zake tanzu imekutana na wateja wake pamoja na wadau mbalimbali wakiwemo wanahisa, wawekezaji, ... Read more »
Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa azindua Mpango wa Uuzaji Hisa Stahiki MCB, asema utachochea Mikopo nafuu HABARI MSETO 7.5.26 0 Na Hussein Ndubikile, Dar es Salaam Uuzaji wa hisa za Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) ni chachu ya kuimarisha mtaji na kupanua wigo wa ut... Read more »
UBUNIFU WA VIJANA WAPATA NGUVU MPYA KUPITIA IMBEJU - UDSM STARTUP 2026 HABARI MSETO 6.5.26 0 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Innocent Mabilika (kushoto), mwanafunzi a... Read more »
CHUO KIKUU CHA HARVARD CHA MAREKANI KUINGIA USHIRIKIANO WA MATUMIZI YA AKILI MNEMBA (AI) NA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM HABARI MSETO 4.5.26 0 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimeingia katika mazungumzo ya ushirikiano wa kimkakati na Chuo Kikuu cha Harvard, Marekani, yakilenga k... Read more »
RAIS MSTAAFU DKT KIKWETE AMPONGEZA MTANZANIA NGASUMA EVA KANYEKA ALIYENG'ARA CHUO KIKUU CHA HAVARD NCHINI MAREKANI KWA KUSHINDA TUZO YA TESSA JOWELL FOUNDATION HABARI MSETO 4.5.26 0 Bi. Ngasuma Eva Kanyeka, mwanafunzi wa Kitanzania wa Shahada ya Uzamivu (PhD), aliyeshinda tuzo inayotolewa na Programu ya Uongozi wa Mawa... Read more »
Tanzania na Zambia Wakutana Kuboresha Mazingira ya Biashara HABARI MSETO 4.5.26 0 Mkutano wa Kamati ya Pamoja ya Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia umeanza... Read more »
WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA 11 WA CHAMA CHA WAENDESHA MASHTAKA HABARI MSETO 4.5.26 0 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na washiriki wa Mkutano Mkuu wa 11 na Kongamano la Chama cha Waendesha Mashtaka Afrika Masharik... Read more »
Rais Kagame atua Tanzania HABARI MSETO 4.5.26 0 Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame amewasili nchini kwa Ziara ya Kikazi ya siku moja yenye lengo la kuimarisha uhusiano wa uwili ka... Read more »
WAKILI WA IRINGA FOOD AND BEVERAGES LTD ATOA UFAFANUZI SHAMBA NAMBA 1135 LILOKO KIJIJI CHA MAGUNGA WILAYA YA IRINGA HABARI MSETO 1.5.26 0 NA DENIS MLOWE, IRINGA MGOGORO wa umiliki wa shamba namba 1135 lililopo kijiji cha Magunga, Wilaya ya Iringa ulioingiliwa na baadhi ya wana... Read more »