HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

April 01, 2015

EAGgroup YASAINI MKATABA WA KIBIASHARA NA SIMBA

Rais wa Simba, Evans Aveva (kushoto) akizungumza wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa miaka mitano wa kibiashara na Kampuni ya EAGgroup jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Imani Kajula. (Picha na Loveness Bernard)
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula akizungumza wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa miaka mitano wa kibiashara na Klabu ya Simba. Kushoto ni Rais wa Simba, Evans Aveva.
Rais wa Simba, Evans Aveva (kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula wakisaini mkataba wa kibiashara.
Rais wa Simba, Evans Aveva (kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula wakisaini mkataba wa kibiashara.

Rais wa Simba, Evans Aveva (katikati) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula wakisaini mkataba wa kibiashara.Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Salim Abdallah.

Rais wa Simba, Evans Aveva (katikati) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula wakisaini mkataba wa kibiashara.Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Salim Abdallah.
Rais wa Simba, Evans Aveva akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani). Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Jasmin Badar Suody.

Ufafanuzi.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.
Tutaongeza hadhi za wachezaji....
Meza Kuu.

No comments:

Post a Comment

Pages