Mbunge wa Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), akishuka katika gari la Polisi wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Mkoa leo akikabiliwa na tuhuma za uchochezi.
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kikiwa tayari kukabiliana na lolote linaloweza kutokea katika viunga vya Mahakama ya Mkoa wa Iringa.
No comments:
Post a Comment