Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014 kwa
ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Mhe. Jack Zoka, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Alexander Rannkikh, wakati
alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014 kwa
ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Mhe. Jack Zoka,
baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo Desemba 30, 2014 alipofika kumuaga akienda kuanza kazi rasmi
nchini Canada. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Canada, Mhe. Jack Zoka, baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Desemba 30, 2014 kwa ajili ya kumuaga akienda kuanza kazi rasmi nchini Canada.
No comments:
Post a Comment