Watu wa kada mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Mwigulu Nchemba wakati akitangaza nia katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere mjini Dodoma leo.
Mwigulu Nchemba akitoa hotuba yake wakati akitangaza nia katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere mjini Dodoma leo.
Mwigulu Nchemba akitoa hotuba yake wakati akitangaza nia katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere mjini Dodoma leo.
Mwigulu Nchemba akiwa na familia yake mjini Dodoma leo wakati akitangaza nia katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere.
Steven Wasira akitangaza nia mjini Mwanza katika ukumbi wa BOT.
Wasira akisalimiana na makada wa CCM.
No comments:
Post a Comment