Waziri Mkuu mstaafu, Edward lowassa akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Dodoma kuhusu mambo mbalimbali pamoja na safari ya matumaini.
Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akizungumza na wahariri mjini Dodoma leo.
Mhariri wa gazeti la Mtanzania, Denisy Msaki akizungumza na Mbunge wa Monduli Edwrd Lowassa baada ya kumaliza mazungumzo na wahariri nyumbani kwake mjini Dodoma leo.
Mhariri wa Michezo wa gazeti la Mtanzania, Mwani Nyangasa akibadilishana mawazo na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa baada ya mkutano na wahariri.
Mhariri wa Michezo wa gazeti la Mtanzania, Mwani Nyangasa (kushoto) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa baada ya mkutano na wahariri.
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, Manyerere Jackon akibadilishana mawazo na Edward Lowassa (MB).
No comments:
Post a Comment