Mtaalamu wa macho Dk. Justin Mwaipojo, akimpima macho mkazi wa Mbande, Temeke jijini Dar es Salaam, Mayasa Kapilima, wakati wa ufunguzi rasmi wa kambi maalum ya uchunguzi wa macho na kufanya upasuaji wa bure kwa wenye ugonjwa wa mtoto wa jicho. Kambi hiyo iliandaliwa na Jumuiya ya Shia Ithna Asheri kwa ajili ya wakazi wa Dar es Salaam Novemba 3, 2018. (Picha na Francis Dande).
Mtaalamu wa macho Dk. Justin Mwaipojo, akimpima macho mkazi wa Mbande, Temeke jijini Dar es Salaam, Mayasa Kapilima, wakati wa ufunguzi rasmi wa kambi maalum ya uchunguzi wa macho.
Mtaalamu wa macho Dk. Justin Mwaipojo, akimpima macho jana mkazi wa Mbande, Temeke jijini Dar es Salaam, Mayasa Kapilima.
Ufafanuzi kwa Naibu Spika.
Mratibu wa Kambi ya Uchunguzi wa Macho, Aliraza Bandali, akitoa ufafanuzi kwa Naibu Spika Dk. Tulia Ackson, wakati alipotembelea kambi hiyo jijini Dar es Salaam, Novemba 3, 2018.
Wagonjwa wakipatiwa matibabu.
Wagonjwa wakipatiwa matibabu.
Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam wakisubiri kufanyiwa uchunguzi wa macho.
Wakazi wa jijini Dar es Salaam wakisubiri kupata huduma ya upimaji macho.
Dar es Salaam, Tanzania
Jumuiya ya Shia Ithna Asheri ya Dar es Salaam kwa kushirikia na Bilal Muslim Mission ya Tanzania, Kituo cha Afya cha Ebrahim Haji, Beta Charitable Trust na Whoishussein imendaa Kambi Maalum ya Uchunguzi wa Macho kwa wananchi wote hususan wakazi wa jijini Dar es Salaam.
Kambi hiyo imejikita katika uchunguzl wa ugonjwa wa mtoto wa jicho pamoja na upasuaji wake na itafanyika katika Msikiti wa Khoja Shia unaopatikana mtaa wa Indira Gandhi kila siku ya Jumamosi na Jumapili kuanzia tarehe 13 Oktoba 2018 hadi tarehe 18 Novemba 2018.
`Mratibu wa Kambi hiyo, Aliraza Bandali, amesema kuwa "kambi hiyo itahusisha wataalamu wa ugonjwa wa mtoto wa jicho ambao watawafanyia uchunguzi wananchi wote wataofika kupata huduma ya uchunguzl na wale wote ambao uchunguzl utaonyesha wanahitaji upasuaji watafanyiwa huduma hiyo katika Hospitali ya Ebrahhim Haji inayopatikana Mtaa wa Asia".
Huduma ya uchunguzi pamoja na upasuaji kwa wale watakaohitajika kufanyiwa upasuaji utafanywa bila malipo yoyote kwa wananchi wote wataofika bila kubagua.
Kambi hii imeandaliwa kipindl hiki ikiwa ni sehemu ya maadhisho ya miezi ya Kiislamu ya Muharram na Safar ambayo ina umuhimu wake kihistoria katika dini ya Uislam.

Mwaka mpya wa kalenda ya Kiislam huanza na Muharram, ambapo Waislamu kote dunianl wanakumbuka kifo cha Mjukuu wa Mtukufu Mtume wa Ulslamu, anayejullkana kama Imam Husayn (AS) aliyeuawa kikatili katika ardhi ya Karbala, huko Iraq pamoja na jamaa zake, familla na marafiki.
Wanawake kutoka kwenye famllla yake wallchukullwa kama wafungwa waklpitishwa mji wa Kufa nchinl Iraq na kufungwa jela katika gereza la Sham, Damascus mwaka 680 AD.
"Kwa kuwapa heshima wafuasi wa Karbala ambao walitufundisha juu ya heshima na ubinadamu, kupambana dhidl ya ukandamizaji na kujenga umoja baina yetu, Jumuiya ya Shia imeandaa kambl hii ya uchunguzi wa macho lkiwa ni sehemu ya kuijali jamii ambayo Ina uhitaji wa ugonjwa wa mtoto wa jicho kwa kuwapa ufahamu na msaada wa kukabiliana na ugonjwa huu. Hivyo wananchl Wbte wanakaribishwa katika kambi hil m waweze kupata huduma ya uchunguzi na upasuaji bila malipo yoyote."

No comments:
Post a Comment