HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 08, 2020

PROF. KABUDI AKUTANA, KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI WA UNICEF NCHINI TANZANIA

   Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akimkaribisha Balozi Mteule wa Ujerumani Mhe. Balozi Regine Hess wakati Balozi Hess katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.
Balozi Mteule wa Ujerumani Mhe. Balozi Regine Hess akimueleza jambo Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) wakati alipomtembelea na kufanya nae mazungumzo katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akiongea na Balozi Mteule wa Ujerumani Mhe. Balozi Regine Hess wakati Balozi Hess alipomtembelea Naibu Waziri katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiongea na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) nchini Tanzania, Bi. Shalini Bahuguna katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) nchini Tanzania, Bi. Shalini Bahuguna akimueleza jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.
 Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) nchini Tanzania, Bi. Shalini Bahuguna akimkabidhi nakala ya Hati ya Utambulisho Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) leo katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages