HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 16, 2020

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK HUSSEIN ALI MWINYI AKIONDOKA ZANZIBAR KUELEKEA DODOMA KUHUDHURIA HAFLA UA KUAPISHWA WAZIRI MKUU MHE MAJALIWA LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akisalimiana na Wazee wa CCM Zanzibar, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Jijini Dodoma kuhudhuri hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa leo katika viwanja vya  Chamwino. (Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Makamu wa Pili wa  Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, wakati akiondoka Uwanja wa  Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Jijini Dodoma kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya  Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, hafla hiyo inayofanyika leo  katika viwanja vya Ikulu Chamwino Dodoma. (Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages