Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akiweka jiwe la Msingi
ujenzi wa majengo mapya ya Chuo cha Ualimu Kabanga kilichopo wilaya ya Kasulu
Mkoa wa Kigoma, Julai 17, 2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizindua jengo la
Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Kasulu – Kigoma Julai 17, 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Kasulu waliojitokeza kumsikiliza wakati wa uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoa wa Kigoma, Julai 17, 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Balozi wa Canada Nchini Tanzania Pamella O’ Donell mara baada ya uwekaji Jiwe la msingi ujenzi wa majengo mapya Chuo cha Ualimu Kabanga Julai 17, 2021.
No comments:
Post a Comment