HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

July 18, 2021

WANANCHI KONDE WAPIGAKURA LEO KUMCHAGUA MBUNGE WAO

Mkazi wa Msuka akionesha kidole baada  ya kupiga kura katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani Zanzibar. Uchaguzi huo umefanyika leo Julai 18,2021 baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo. (Picha na NEC). 

Mkazi wa Konde akipiga kura katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani Zanzibar. Uchaguzi huo umefanyika leo Julai 18,2021 baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo. 
 
Mpigakura akiwekwa wino baada ya kupiga kura.
Wananchi wakihakiki majina yao katika daftari la mpiga kura kabla ya kupiga kura katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani Zanzibar. Uchaguzi huo umefanyika leo Julai 18,2021 baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo.
Mpigakura akitoa kitambulisho chake na kuhakikiwa katika Daftari la Mpiga kura.
Wakazi wa Konde wakiwa kawa katika foleni ya kupiga kura katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Konde, Wilaya ya Micheweni, mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani Zanzibar. Uchaguzi huo umefanyika leo Julai 18,2021 baada ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo. 

No comments:

Post a Comment

Pages