HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 06, 2022

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI NA MKEWE MAMA MARIAM MWINYI WAMEWAFARIJI FAMILIA ZA RUBANI WA KAMPUNI YA NDEGE YA FLY ZANZIBAR ILIYOTOKEA NCHINI COMORO


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akizungumza na familia ya Rubani wa Ndege ya Kampuni ya Fly Zanzibar. Adil Sultani Khamis, aliyepata ajali ya ndege Nchini Comoro, akizungumza na Mzee wa familia hiyo Khamis Mbarouk, alipofika nyumbani kwao Mbweni nje ya mjini wa Zanzibar kwa kuwafariji kwa kupotelewa na kijana wao.(Picha na Ikulu).

No comments:

Post a Comment

Pages