HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 04, 2022

Wanachama, wafuasi Chadema shangwe tupu Mbowe kuachia huru



Wanachama na wafuasi wa Chadema wakiwa  na furaha baada ya Jamhuri kuondoa kesi ya ugaidi iliyokuwa inamkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe. 


No comments:

Post a Comment

Pages