HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 18, 2023

KIMETOKA BWANA.....

Na John Richard Marwa


Hiki hapa kikosi cha Taifastars, kilichoingia kambini kujiwinda dhidi ya Niger hapo jumapili mchezo wa hatua ya makundi kuwania kufuzu Afcon.

 Walinda Mlango

01. Metacha Mnata - Yanga SC
02. Beno Kakolanya - Simba SC
03. Vuai - KMKM
04. Zuberi Foba - Azam.

Walinzi

05. Datus Peter - Kagera
06. Dickson Job - Yanga SC
07. Kibwana Shomari - Yang SC
08. Bakari Mwamnyeto - Yanga SC
09. Ibrahim Bacca - Yanga SC
10. Zimbwe Jr - Simba SC
11. Kennedy Juma - Simba SC
12. Novatus Dismac - Zulte, Ubelgiji.
13. Abdi Banda - Chippa Utd 🇿🇦
14. Lameck Lawi - Costal Union

 Viungo

15. Himid Mao - Ghazl 🇪🇬
16. Adolph Vitegeko - Volsungur 🇮🇸
17. Aziz Andambwile - Singida
18. Muzamir Yassin - Simba SC
19. Mudathir Yahya - Yanga SC
20. Ayoub Idrissa Bilal - Ankara 🇹🇷
21. Ben Starkie - Basford Utd 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
22. Morris Abraham - Spartak Subotica 🇷🇸

Washambuliaji

23. Simon Msuva - Al Qadsiah 🇸🇦
24. Abdul Suleiman Sopu - Azam FC
25. Kibu Dennis - Simba SC
26. John Tiber - Hatta club 🇦🇪
27. Bernard Kamungo - FC Dallas 🇺🇲
28. Adi Yusuph - Brackley Town 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
Mbwana Samatta (Genk, Ubelgiji)

" Daud Loth pia tumemuita na atakuwa na timu licha ya kwamba ameumia lakini ataendelea kuwa kambini tunaamini ni sehemu ya msaada hapo baadaye "

“Naomba radhi kwa kilichotokea,  hakitajirudia. Majina hayakutoka mapema kutoakana na ratiba yangu kuwafuata baadhi ya wachezaji nje. Tumejitahidi kuongeza idadi ya vijana(U-20) na tumefungua milango kwa wachezaji wa nje ya Tanzania". Amesema Adel Amrouche
Kocha mkuu wa Taifa Stars 🇹🇿

No comments:

Post a Comment

Pages