HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 28, 2023

MSUVA WA AZAM FC MFUNGAJI BORA UHAI CUP 2011

 Na Zaka Zakazi 

Mwaka 2011 Saimon Msuva wa Azam FC alikuwa mfungaji bora wa ligi ya vijana chini ya miaka 20, UHAI CUP.



Mabao yake matatu kwenye nusu fainali dhidi ya timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, yalimhakikishia kiatu cha dhahabu.


Ikiwa chini ya kocha Kim Poulsen, Serengeti Boys ilishiriki kama timu maalumu, ikiundwa na wachezaji watano kutoka Azam FC.


Farid Mussa, Joseph Kimwaga, Mudathir Yahya, Hamad Kadedi na 


Saimon Msuva alimaliza mashindano akiwa na mabao 4, moja akifunga dhidi ya Kagera Sugar, kwenye mchezo wa ufunguzi wa mashindano.


Kikosi cha Azam FC 


Aishi Manula

Kelvin Idd

Braison Nkulula (Sospeter Bajana)

Ibrahim Juma 'Jeba'

Ally Kaijage

Mgaya Abdul Jafari

Dizana Issa

Mohamed Hussein 'Tshabalala'

Saimon Msuva

Asad Ally/Mange Gugah/Tumain Venance 

Mussa Kanyaga

No comments:

Post a Comment

Pages