HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 14, 2025

Dkt. Samia anguruma Kigoma

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya selfie na wagombea Ubunge wa majimbo ya Mkoa wa Kigoma mara baada ya kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Katosho mkoani Kigoma tarehe 14 Septemba, 2025.




 Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimvalisha kofia Mwanachama mpya wa CCM Ndugu Said Bakema Rashid ambaye hapo awali alikuwa Kiongozi na Mratibu wa Chama cha ACT Wazalendo kwa mikoa mitano ikiwemo Kigoma.  Ndugu Said Bakema Rashid aliamua kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Katosho mkoani Kigoma tarehe 14 Septemba, 2025.

No comments:

Post a Comment

Pages