HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 16, 2025

Ngome ya ACT Wazalendo Pemba yasambaratika

Mkuu wa ngome ya Wazee wa ACT Wazalendo, Chake Chake, Fakhi Ali Juma ambaye amehamia CCM na wanachama wengine 453 wa chama hicho, alisema atamshawishi mgombea Urais wa chama chake hicho alichotoka, kumpigia kura Dkt. Hussein Ali Mwinyi kutokana na ukweli kuwa toka 1995 hajapatikana kiongozi bora kama yeye.

Akizingumza katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM, Pemba viwanja vya Gombani ya Kale 15 Septemba 2025, Fakhi alisema ACT Wazalendo wameshajua kuwa Dkt. Mwinyi ndio Rais wa Zanzibar ila wanaficha ukweli.

"Mashule yamejengwa, barabara ndio hizo, mahospitali ndio usiseme" wanaujua ukweli hivyo hakuna haja ya kuficha ukweli" alisema Fakhi.




No comments:

Post a Comment

Pages