Muonekano wa Barabara ya Morogoro eneo la Kimara mwisho Jijini Dar es Salaam, ambapo tayari maandalizi ya mradi wa ujenzi wa barabara ya njia sita kutoka Ubungo hadi Kibaha mkoani Pwani yenye urefu wa kilometa 16 umeiva. Ujenzi wa barabara hiyo unaotarajia kuanza mwishoni mwa mwezi Disemba mwaka huu utasaidia kukuza uchumi kwa kuongeza kasi ya usafirishaji wa bidhaa katika nchi jirani kupitia Bandari ya Dar es Salaam. Pia utasaidia kupambana na changamoto ya msongamano wa magari na kuziwezesha barabara zote za jiji la Dar es Salaam kupitika katika majira yote ya mwaka. (Picha na Ikulu).
November 07, 2018
Home
Unlabelled
UJENZI WA BARABARA YA NJIA SITA WAPAMBA MOTO
UJENZI WA BARABARA YA NJIA SITA WAPAMBA MOTO
Share This
About HABARI MSETO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.





No comments:
Post a Comment