RAIS DK. SAMIA AONGOZA KUAGWA MWILI WA JENISTA MHAGAMA, LEO HABARI MSETO 13.12.25 0 Ikulu, Dodoma Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ameongoza kuagwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama, katika Ibada i... Read more »
RC MALIMA AIPA KONGOLE WIZARA YA ARDHI UTUNZAJI KUMBUKUMBU ZA ARDHI HABARI MSETO 13.12.25 0 Na Munir Shemweta, WANMM MOROGORO Mkuu wa mkoa wa Morogoro Bw. Adam Malima ameipongeza Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa... Read more »
Waziri Masauni achaguliwa Makamu wa Rais Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa HABARI MSETO 13.12.25 0 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Bara... Read more »
WAZIRI SANGU: MFUMO e-UTATUZI MAFANIKIO MAKUBWA CMA HABARI MSETO 13.12.25 0 Na Ofisi ya Waziri Mkuu - KAM Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, ameipongeza Tume ya Usuluhis... Read more »
WAZIRI WA ARDHI AWAASA WAHITIMU ARIMO KUJIEPUSHA NA MATENDO MAOVU HABARI MSETO 12.12.25 0 Na Munir Shemweta, WANMM MOROGORO Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt Leonard Akwilapo amewaasa wahitimu wa Chuo cha Ar... Read more »
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar awashukuru wananchi wa Bweleo HABARI MSETO 12.12.25 0 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amewashukuru wananchi wa Bweleo na wazanzibar kwa ujumla kwa kuendelea ku... Read more »
Tanzania kunufaika na zaidi ya USD milioni 15 kutatua changamoto za mazingira HABARI MSETO 12.12.25 0 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kunufaika na ufadhili wa kiasi cha Dola za Marekani milioni 15,096,716 kupitia Mpango wa Mazingir... Read more »
SERIKALI YAJIDHATITI KUIMARISHA USTAWI WA JAMII HABARI MSETO 12.12.25 0 Na Jackline Minja, MJJWM Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita, inaendelea kuweka kipaumbele katika ajenda ya ustawi na mifumo ya ulinzi wa mtot... Read more »
Balozi Iddi: Muungano una fursa kwa Watanzania HABARI MSETO 12.12.25 0 Mwandishi Wetu, Zanzibar Makamu wa Pili wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Balozi Seif Ali Iddi amesema uwepo wa ... Read more »
TANZANIA YATOA WITO WA HATUA MADHUBUTI KULINDA MAZINGIRA HABARI MSETO 12.12.25 0 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa wito kwa Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua za haraka, shirikishi na zenye matokeo katik... Read more »
MBUNGE JIMBO LA KILOLO RITHA KABATI AMLILIA JENISTA MHAGAMA HABARI MSETO 12.12.25 0 NA DENIS MLOWE, IRINGA MBUNGE wa Jimbo la Kilolo mkoani Iringa, Ritha Kabati amewapa pole Watanzania kwa kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo ... Read more »
MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR- KUKUTANA NA WAZIRI WA MUUNGANO NA MAZINGIRA OFISINI VUGA HABARI MSETO 10.12.25 0 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Ofisi ya Makamu wa Pili wa ... Read more »
WATANZANIA WASHAURIWA KUENDELEZA UTAMADUNI WA MAZUNGUMZO: BUTIKU HABARI MSETO 10.12.25 0 Na Mwandishi Wetu WATANZANIA wameshauriwa kuendeleza utamaduni kutumia njia ya mazungumzo pale wanapokutana na changamoto za kisiasa, kijam... Read more »