Sawa kwa mbinde, lakini si wameshinda? Yanga 1 Coastal Union 0 HABARI MSETO 7.12.25 0 MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union ya Tanga, shukrani kwa bao... Read more »
Azam FC 'yazika mdudu wa sare', yaifumua Simba SC 2-0 HABARI MSETO 7.12.25 0 KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Florent Ibenge, kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba SC na kuzika jinamizi la kutopata ushin... Read more »
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN NI RAIS WA VITENDO – WAZIRI MKUU HABARI MSETO 5.12.25 0 *Ajira mpya 12,000 za elimu na afya kuanza Januari, 2026 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Rais wa v... Read more »
Mahafali Shivo Education Centre yafana, wazazi, walezi ‘wapigwa msasa’ HABARI MSETO 5.12.25 0 NA SALUM MKANDEMBA WAZAZI na walezi nchini wametakiwa kuiunga mkono Serikali kwa kufanya uwekezaji katika elimu ya watoto wao, sambamba na k... Read more »
Bajaber afungua akaunti ya mabao Simba ikiirarua Mbeya City HABARI MSETO 5.12.25 0 AKIINGIA kutokea benchi, kucheza kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha Simba, nyota wa kimataifa wa Kenya, Mohamed Bajabr, amefunga bao lake ... Read more »
Dube, Pacome Zouzoua waibeba Yanga vs Fountain Gate HABARI MSETO 4.12.25 0 MABAO mawili yaliyowekwa kambani na Prince Mpumelelo Dube na Pacome Pedow Zouzoua, yametosha kuwapa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Ta... Read more »
Elimu yetu lazima iendane na mabadiliko ya teknolojia HABARI MSETO 4.12.25 0 Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania Dkt. Aneth Komba ameeleza kuwa mabadiliko ya Elimu lazima yaendane na mabadi... Read more »
MANISPAA YA KIBAHA YATOA SOMO KWA WANANCHI KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI YA UKIMWI HABARI MSETO 4.12.25 0 NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha Mkoani Pwani imeweka mipango madhubuti na kujipanga vilivyo ambayo itaweza kusa... Read more »
VIJANA WABUNIFU NDIYO WENYE HATMA YA TANZANIA - WAZIRI MKUU HABARI MSETO 3.12.25 0 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Watanzania wanataka kuiona nchi yao ikifikisha lengo la uchumi wa kati wa dola za Marekani trilioni... Read more »
NMB yatoa 500m/- kusaidia matibabu ya moyo ya watoto 125 nchini HABARI MSETO 2.12.25 0 NMB yatoa 500m/- kusaidia matibabu ya moyo ya watoto 125 nchini Na Mwandishi Maalum Benki ya NMB tayari imetoa nusu ya ... Read more »
Dkt. NICAS AAHIDI NEEMA YA MAENDELEO KWA WANANCHI WANYOGE MANISPAA YA KIBAHA HABARI MSETO 1.12.25 0 NA VICTOR MASANGU,KIBAHA Diwani mteule wa Kata ya Tumbi Dkt. Nicas Mawazo amechaguliwa kuwa Meya mteule wa Halmashauri ya Manispaa ya Kiba... Read more »
MBETO: FĹYOVER MWANAKWEREKWE NI AHADI ZA DKT. MWINYI HABARI MSETO 1.12.25 0 Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Kukamilika kwa barabara za Juu (Flyover) Mwanakwerekwe ni sehemu ya matunda ya utekelezaji wa Ilani ya CCM iliyo... Read more »
RAIS SAMIA: POLISI WAACHE KUMTAFUTA DKT. GWAJIMA HABARI MSETO 30.11.25 0 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi liache kumtafuta Askofu Dkt. Josephat Gwaj... Read more »